Swahili Tales/Tumbako
←Mtu ayari na hamali | Swahili Tales (1870) by Tumbako |
Vitendawili→ |
English translation: Tobacco |
[ 414 ]
TUMBAKO.
Tumbako ilipoingia katika ulimwengu, walipoiona wenyi akili waliitwaa wakainuka, waandamizi wenyi akili waliitwaa, wakaivuta, wakaangalia moshi wake. Wapemba wapumbavu walithanya, ni vyakula, wakaitwaa, wakaila.