Page:Swahili tales.djvu/440

This page has been proofread.
420
VITENDAWILI.

8. Nikitoka kutembea, nikashika ng'ombe mkia.
Kata.

9. Nyama ya reale haijai kikombe.
Mkufu.

10. Hausimiki, hausimami.
Mkufu.

11. Nimepanda koonde yangu kubwa, nimevuna, hauja mkono.
Nyele.

12. Parra hatta Maka.
Utelezi.

13. Popo mbili zavuka mto.
Macho.